Mada ya 1: Ngeli Za Nomino
a). Kuzielewa Ngeli
i. Fafanua upatanishi wa kisarufi katika sentensi
ii. Andika habari zenye upatanishi wa kisarufi
Mada ya 2: Mjengo Wa Tungo
a). Maana ya Tungo
i. Maana ya Tungo
ii. Bainisha aina mbalimbali za tungo
iii. Maana ya Kirai na Uainishaji wake
iv. Maana ya Kishazi na Uainishaji wake
b). Ufafanuzi wa Aina za Tungo
i. Maana ya sentensi
ii. Muundo wa sentensi kimapokeo/kikazi/kidhima
iii. Uainishaji wa sentensi
iv. Kubainisha uchanganuzi wa sentensi
Mada ya 3 Maendeleo Ya Kiswahili
a). Asili ya Kiswahili
i. Onesha ushahidi wa kimsamiati na kimuundo unaothibitisha ubantu wa Kiswahili
ii. Fafanua jinsi miundo ya Kiswahili inavyofanana na miundo ya lugha nyingine za Kibantu
b). Kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu
i. Elezea ukuaji wa Kiswahili kimsamiati nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu
ii. Elezea ueneaji wa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu
c). Kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Wajerumani
i. Fafanua ukuaji wa Kiswahili nchini katika enzi za Wajerumani
ii. Elezea ueneaji wa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi za Wajerumani
Mada ya 4: Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi
a). Maana ya Uhakiki
i. Fafanua dhana ya uhakiki
ii. Elezea misingi ya uhakiki
b). Uhakiki wa Fani katika Kazi za Fasihi Andishi
i. Hakiki fani katika riwaya ya Takadini
ii. Hakiki fani katika Riwaya ya Joka la Mdimu
iii. Hakiki fani katika Riwaya ya Watoto wa Mama N’tiliye
c). Uhakiki wa Fani katika Tamthiliya
i. Hakiki fani katika tamthiliya ya Kilio Chetu
ii. Hakiki fani katika tamthiliya ya Orodha
iii. Hakiki fani katika tamthiliya ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe
d). Uhakiki wa fani katika Ushairi
i. Hakiki fani katika Ushairi wa Wasakatonge
ii. Hakiki fani katika Ushairi wa Mashairi ya Chekacheka
iii. Hakiki Fani katika Ushairi wa Malenga Wapya
e). Uhakiki wa Maudhui katika Kazi za Fasihi Andishi
i. Hakiki Maudhui katika riwaya ya Takadini
ii. Hakiki maudhui katika Riwaya ya Joka la Mdimu
iii. Hakiki maudhui katika Riwaya ya Watoto wa Mama N’tiliye
f). Uhakiki wa Maudhui katika Tamthiliya
i. Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Kilio Chetu
ii. Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Orodha
iii. Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe
g). Uhakiki wa Maudhui katika Ushairi
i. Hakiki maudhui katika Ushairi wa Wasakatonge
ii. Hakiki Maudhui katika Ushairi wa Malenga Wapya
iii. Hakiki maudhui katika Diwani ya Chekacheka
Mada ya 5: Utungaji Wa Kazi Za Fasihi Andishi
a). Utungaji wa Hadithi
i. Pambanua mikondo ya uandishi wa hadithi
b). Utungaji Tamthiliya
i. Elezea dhima ya tamthiliya
ii. Tunga tamthiliya
Mada ya 6: Uandishi Wa Insha Na Matangazo
a). Uandishi wa Insha za Kisanaa
i. Elezea misingi ya kuandika insha
ii. Andika insha za kisanaa
b). Uandishi wa Matangazo
i. Elezea vipengele vya kuzingatiwa katika uandishi wa matangazo
Mada ya 7: Kusoma Kwa Ufahamu
a). Kusoma Kimya
i. Jibu maswali ya ufahamu kutokana na habari uliyosoma
ii. Fupisha habari uliyoisoma