Mada ya 1: Kuongeza Msamiati Wa Kiswahili
a). Uundaji wa Maneno
i. Elezea njia mbalimbali za uundaji maneno
ii. Elezea mazingira yanayoelezea kuhitaji maneno mapya
iii. Unda maneno katika miktadha mbalimbali
Mada ya 2: Ukuaji Na Ueneaji Wa Kiswahili Enzi Ya Waingereza Na Baada Ya Uhuru
a). Ukuaji na ueneaji wa Kiswahili katika enzi ya Waingereza
i. Elezea mambo waliyochangia waingereza katika ukuaji wa Kiswahili nchini Tanzania
b). Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili baada ya Uhuru
i. Elezea shughuli mbalimbali zinazowezesha kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini
ii. Elezea dhima ya kila asasi inayokuza Kiswahili
Mada ya 3: Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi
a). Uhakiki wa Ushairi, Tamthiliya na Riwaya
i. Fafanua vipengele vya uhakiki
ii. Baini taarifa muhimu za mwandishi wa kila kitabu
Mada ya 4: Kutunga Kazi Za Fasihi Andishi
a). Utungaji wa Mashairi
i. Fafanua mambo ya kuzingatia katika utungaji wa mashairi
Mada ya 5: Uandishi
a). Uandishi wa Insha za Kiada
i. Elezea muundo wa insha za kaida
b). Uandishi wa Hotuba
i. Elezea muundo wa hotuba
c). Uandishi wa Risala
i. Elezea muundo wa risala
d). Uandishi wa kumbukumbu za Mikutano
i. Elezea mambo ya kuzingatia katika uchukuaji wa kumbukumbu za mikutano
Mada ya 6: Ufahamu
a). Ufahamu wa Kusikiliza
i. Jibu maswali ya habari uliyosikiliza
ii. Fupisha habari
b). Ufahamu wa Kusoma
i. Jibu maswali kutokana na habari ndefu uliyosoma
ii. Fupisha habari ndefu uliyosoma