KISWAHILI: KIDATO CHA 2: S5: USAJILI WA MIAKA 4

Sh 4,000

Furahia miezi 48 (yaani miaka 4) ya kusoma kozi hii ya mtandaoni. Baada ya miaka 4, utahitajika kuhuisha tena uanachama wako.

  1. Kuona mtaala wa kozi hii tafadhali bonyeza hapa:
  2. Kujiunga na shule yetu bonyeza hapa.

Description

Kozi hii ya kimtandao imesheheni mambo mbalimbali (kama vile: notsi, vitabu, video n.k), yaliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha 1. Katika kozi hii:

1). Utaweza kupata fursa ya kusoma notsi zote zilizomo ndani ya somo hili.

2). Utaona video mbalimbali, zinazoonyesha walimu wakifundisha mada zilizomo ndani ya somo hili.

3). Utapata fursa ya kujipima mwenyewe kupitia mazoezi mbalimbali yaliyomo ndani ya somo hili.

4). Utapata nafasi ya kuuliza maswali, na walimu wetu wenye utaalamu wa kutosha watakujibu ipasavyo.

 

JE UNAPENDA KUJIUNGA NA SHULE YETU YA MTANDAONI?

Unaweza pia kujiunga na shule yetu ya mtandaoni na ukawa mwanafunzi wa shule yetu kwa kubonyeza hapa. Wanafunzi wetu hufurahi manufaa yafuatayo:

a). Usaidizi wa karibu: Ukiwa kama mwanafunzi, utapata usaidizi wa karibu pamoja na maelekezo muhimu kutoka kwa walimu wetu wenye uzoefu wa kutosha.

b). Madarasa mubashara: Ukiwa kama mwanafunzi, utapata fursa ya kutazama mubashara madarasa yetu ya mtandaoni, katika muda maalumu kama inavyoonyeshwa katika akaunti yako ya mwanafunzi.

c). Mitihani ya kila wiki: Walimu wetu huandaa mitihani ya kila wiki kwa ajili ya wanafunzi wetu. Mwanafunzi ataona kwa siri matokeo ya mitihani yake kwenye akaunti yake ya uanafunzi.

Je tayari umeshakuwa mwanafunzi wetu? Kama jibu ni ndio, bonyeza hapa ili kuingia kwenye akaunti yako ya uanafunzi.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “KISWAHILI: KIDATO CHA 2: S5: USAJILI WA MIAKA 4”
No more offers for this product!

Refund Policy

I

Cancellation / Return / Exchange Policy

J

General Inquiries

There are no inquiries yet.

error: